Branch #1 Home Branch CALL CENTER: 0790980123 info@fkfmicro-credit.co.tz
FKF MICRO-CREDIT

Huduma za mikopo kwa urahisi, uwazi na uhakika.

Customer Services

Fungua account, omba mkopo, na simamia taarifa zako kwa urahisi

Jisajili kwenye mfumo, ingia kwenye account yako, tuma maombi ya mkopo, angalia ratiba ya marejesho, fuatilia taarifa za huduma, na pokea msaada unapouhitaji.

Fungua Account

Jisajili na tengeneza account yako kwa hatua chache.

Omba Mkopo

Tuma maombi ya mkopo moja kwa moja kupitia mfumo.

Angalia Marejesho

Jua ratiba na makadirio ya malipo yako mapema.

Pata Msaada

Wasiliana na admin kwa simu au email ukihitaji msaada.

Karibu FKF MICRO-CREDIT
Anza safari yako ya kupata huduma za mikopo kwa urahisi

Mfumo rahisi, salama na wa haraka kwa wateja wote.

Huduma za Mteja

Chagua huduma unayohitaji moja kwa moja kutoka kwenye mfumo.

Huduma na Bidhaa

Mikopo kwa biashara, kazi na maisha ya kila siku

Chagua aina ya mkopo inayokufaa, jisajili na utume ombi kupitia mfumo. Kiasi, muda na masharti kamili hutolewa baada ya tathmini.

Mkopo wa Wajasiriamali

Mtaji wa kuanzisha, kuendesha au kupanua shughuli ya ujasiriamali.

Soma maelezo

Mkopo wa Boda Boda

Ufadhili wa kununua, kuboresha au kuendeleza biashara ya pikipiki.

Soma maelezo

Mkopo wa Bajaji

Huduma ya kupata bajaji au kuongeza uwezo wa biashara ya usafirishaji.

Soma maelezo

Mkopo wa Mama Ntilie

Mtaji wa chakula, vifaa na maboresho ya biashara ndogo ya upishi.

Soma maelezo

Mkopo wa Wafanyabiashara

Mtaji wa kuongeza bidhaa, vifaa au kupanua eneo la biashara.

Soma maelezo

Mkopo wa Wamachinga

Mtaji unaolenga wafanyabiashara wadogo na wauzaji wa bidhaa mbalimbali.

Soma maelezo

Mkopo wa Duka na Kiosk

Msaada wa kuongeza stock, vifaa na mtaji wa uendeshaji wa duka.

Soma maelezo

Mkopo wa Kilimo

Huduma kwa pembejeo, uzalishaji na shughuli za mnyororo wa thamani.

Soma maelezo

Mkopo wa Mifugo

Fedha kwa ununuzi, ufugaji, chakula, tiba na maboresho ya mifugo.

Soma maelezo

Mkopo wa Uvuvi

Ufadhili wa vifaa, usafiri, uhifadhi na biashara inayohusiana na uvuvi.

Soma maelezo

Mkopo wa Zana za Kilimo

Huduma ya kupata mashine, pampu, zana na vifaa vya uzalishaji.

Soma maelezo

Mkopo wa Kikundi

Huduma kwa vikundi vinavyoendesha shughuli za pamoja za kiuchumi.

Soma maelezo

Mkopo wa Wanawake

Mtaji wa kusaidia wanawake kuanzisha na kukuza shughuli za kipato.

Soma maelezo

Mkopo wa Vijana

Ufadhili wa mawazo ya biashara, ufundi na miradi ya vijana.

Soma maelezo

Mkopo wa Mshahara

Huduma kwa waajiriwa wenye kipato kinachoweza kuthibitishwa.

Soma maelezo

Mkopo wa Mtaji

Fedha za kusaidia mtaji wa mzunguko na ununuzi wa vifaa vya kazi.

Soma maelezo

Mkopo wa Biashara Mtandaoni

Msaada kwa wauzaji wa mtandaoni na watoa huduma za kidijitali.

Soma maelezo

Mkopo wa Saluni na Ufundi

Mtaji wa vifaa na uendeshaji kwa saluni, gereji na mafundi.

Soma maelezo

Mkopo wa Elimu

Msaada wa ada, vifaa vya kujifunzia na mahitaji muhimu ya elimu.

Soma maelezo

Mkopo wa Afya na Dharura

Huduma kwa gharama muhimu za afya au hitaji la dharura baada ya tathmini.

Soma maelezo

Mkopo wa Makazi

Msaada wa kujenga, kuboresha, kukarabati au kukamilisha makazi.

Soma maelezo

Mkopo wa Nishati Safi

Ufadhili wa solar, biogas na vifaa vinavyotumia nishati kwa ufanisi.

Soma maelezo

Mkopo wa LPO / Hati Malipo

Mtaji wa kutekeleza oda au mkataba halali unaoweza kuthibitishwa.

Soma maelezo

Mkopo wa Vifaa na Mashine

Ufadhili wa vifaa vinavyoongeza uzalishaji na uwezo wa biashara.

Soma maelezo

Mkopo wa Msimu

Mtaji kwa biashara au uzalishaji unaotegemea msimu maalumu.

Soma maelezo

Mkopo wa Nyongeza / Renewal

Huduma kwa mteja anayestahili kuongeza au kuomba mkopo mwingine.

Soma maelezo
Hakuna huduma iliyopatikana kwa neno hilo. Wasiliana nasi kupata mwongozo.
Aina 26 za mikopo zimeorodheshwa • Kila ombi hufanyiwa tathmini
Huduma inayomjali mteja
Tathmini yenye utaratibu
Ratiba ya marejesho
Msaada unapouhitaji
Kuhusu Sisi

Huduma rahisi, uwazi na ukuaji wa mteja

FKF MICRO-CREDIT inalenga kurahisisha upatikanaji na usimamizi wa huduma za mikopo kupitia mfumo wa kidijitali unaoeleweka.

Dhamira

Kutoa huduma za mikopo kwa utaratibu unaomsaidia mteja kufikia malengo yake.

Dira

Kuwa huduma inayoaminika katika kuboresha maisha na shughuli za kiuchumi.

Maadili

Uadilifu, uwajibikaji, ubunifu, ushirikiano na kumjali mteja.

Faida Utakazopata

Huduma hizi zinakusaidia kutumia mfumo kwa urahisi zaidi.

Account Yako

Unaweza kufungua account na kuhifadhi taarifa zako kwa matumizi ya baadaye.

Maombi Rahisi

Unaweza kutuma ombi la mkopo bila kurudia kujaza taarifa kila mara.

Taarifa za Malipo

Unaweza kuona makadirio ya malipo na ratiba ya marejesho mapema.

Msaada wa Haraka

Unaweza kuwasiliana na admin kupitia simu namba 0790980123.

Jinsi ya Kutumia

Fuata hatua hizi kuanza huduma yako.

1
Register

Tengeneza account yako kwa kujaza taarifa za msingi.

2
Login

Ingia kwenye mfumo kwa kutumia account uliyojisajili.

3
Apply Loan

Jaza ombi lako la mkopo na tuma kupitia mfumo.

4
Track Service

Angalia taarifa za mkopo, marejesho, na statement zako.

Loan Calculator

Weka kiasi cha mkopo, asilimia ya riba, na muda wa marejesho ili kuona makadirio ya malipo yako kwa haraka.

Riba Unayojaza

Visitor anaweza kujaza asilimia ya riba mwenyewe kulingana na aina ya mkopo anaotaka kukokotoa.

Makadirio ya Haraka

Angalia jumla ya malipo, riba, na malipo ya kila mwezi kwa muda wowote wa marejesho.

Calculate Loan

Jaza taarifa zako mwenyewe kupata makadirio sahihi ya mkopo.
Makadirio yanasasishwa unapobadilisha taarifa

TZS 95,833

Riba: TZS 75,000

Jumla ya malipo: TZS 575,000

Msaada kwa Mteja

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Majibu ya haraka kuhusu usajili, maombi, tathmini na ufuatiliaji wa mkopo.

Bonyeza Jisajili, fungua akaunti, ingia na uchague Omba Mkopo. Jaza taarifa zinazohitajika na utume ombi kwa tathmini.

Ingia kwenye akaunti yako na ufungue Loan Status au My Loans. Mfumo utaonyesha taarifa zilizowekwa kuhusu ombi lako.

Hutegemea bidhaa ya mkopo, taarifa za mwombaji na tathmini ya uwezo wa marejesho. Kikokotoo kinatoa makadirio pekee; masharti rasmi yatathibitishwa kabla ya makubaliano.

Baada ya kuingia, tumia Repayment Schedule, Payment History, Statements, Receipts au Loan Balance kulingana na taarifa unazohitaji.
Anza Leo

Uko tayari kutumia huduma zetu?

Jisajili kama mteja mpya au ingia kuendelea na maombi, malipo na ufuatiliaji wa huduma zako.

App imesakinishwa.
IngiaOmba MkopoHesabu